JUKWAA LA WAHARIRI LATOA TAMKO LA KUVAMIWA KWA WAANDISHI WA HABARI


Jukwaa la Wahariri nchini, (TEF) ,limeshtushwa na tukio la kushambuliwa na kuumizwa waandishi ambao walikuwa wakitekeleza majukumu yao kitaaluma mwishoni mwa wiki iliyopita katika hoteli ya Vina Hotel Mabibo jijini Dar es salaam.
Taarifa yake kamili hii hapa:

Maoni