NEW AUDIO: BORA UENDE - AMOUR J. tarehe Machi 14, 2017 Pata kiungo Facebook X Pinterest Barua pepe Programu Nyingine Msanii Amour J kutoka Tanga ameachia audio ya wimbo wake mpya. Kazi imefanyika katika studio za WCB wasafi chini ya producer Lizer classic. Wimbo unakwenda kwa jina Bora uende. unaweza kuusikiliza na ku-download hapo chini. Maoni
Maoni
Chapisha Maoni