TANZIA: MBUNGE DKT ELLY MACHA AFARIKI DUNIA


Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai ametangaza kifo cha mbunge wa viti Maalum, Dkt Elly Marko Macha (Chadema) kilichotokea katika hospitali ya New Cross nchini Uingereza alipokuwa akipatiwa matibabu

Hii taarifa ya Tanzia hiyo:

Maoni