NEW AUDIO: BORA UENDE - AMOUR J.


Msanii Amour J kutoka Tanga ameachia audio ya wimbo wake mpya. Kazi imefanyika katika studio za WCB wasafi chini ya producer Lizer classic.

Wimbo unakwenda kwa jina Bora uende. unaweza kuusikiliza na ku-download hapo chini.

Maoni