MOHAMED ELNENY KUKOSA MICHEZO ILIYOBAKI YA AFCON

Mchezaji wa klabu ya Arsenal Mohamed Elneny anakabiliwa na jukumu la kuhakikisha ana kuwa sawa kiafya ili kushiriki katika fainali za michuano ya kombe la mataifa ya Afrika (AFCON), kama nchi yake ya Misri itafanikiwa kufika hatua hiyo.
Elneny ni mchezaji ambaye hucheza nafasi ya kiungo katika timu yake ya taifa na Misri na amekuwa ni mchezaji muhimu sana amekumbwa na tatizo la ugonjwa wa kifua wakati wa mchezo wa nusu fainali wakati timu yake ilipokutana na Morocco.
Kocha wa timu ya Misri Ihab Lehata amethibitisha kuwa Elneny huenda asiingie uwanjani tena katika michuano hiyo.

Maoni