OOOH YESSS..!!! NI UTALII WA NDANI, JMSANGI NA LE BEBIZZ NDANI YA MAPANGO YA AMBONI. (PICHA14)

Tukiwa sehemu walipojificha SALE OTANGO NA PAULO HAMISI enzi za ukoloni

Hapa ni katika njia nyembamba.

Njia nyembamba

Hall

Tukipanda kilimanjaro ya mapangoni

kilimanjaro

Le bebizz na pozi matata katika kiti cha enzi pangoni

Jmsangi katika kiti cha enzi

Safari ya kutoka kilele cha kilimanjaro

Kutoka kilimanjaro

Le bebizz akiingia ndani ya ndege kwa safari ya kutoka pangoni

Katika mlango wa ndege tukiingia 

Taswira ya nje katika moja ya njia ya kuingia ndani ya mapango ya Amboni

Taswira ya bara la Afrika kwa juu katika moja ya njia ya kuingia ndani ya mapango ya Amboni

Maoni