Waendesha bodaboda ambao ni wafuasi wa Ukawa wakiingia kwa maandamano katika viwanja vya Jangwani.
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalimu Seif Sharifu Hamad , akihutubia kwenye mkutano huo.
Mwenyekiti wa Chama cha NLD, Dk. Emanuel Makaidi akihutubia kwenye hafla hiyo kabla ya kutiliana saini waraka wa ushirikiano.
Makatibu wakuu wa vyama vinavyuunda
Ukawa, wakionesha ishara ya mshikamano baada ya kusaini waraka huo wa
ushirikiano. Kutoka kulia ni Katibu Mkuu wa Chama cha NCCR-Mageuzi,
Mosena Nyambabe, Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Willibrord Slaa, Katibu
Mkuu wa CUF, Maalimu, Seif Sharifu Hamad na Katibu Mkuu wa Chama NLD,
Tozi Matwange.
Wananchi wakiwa kwenye mkutano huo.
Mwanasheria wa Chama cha Demokrasia na
Maendeleo, Tundu Lisu (kulia), akimkaribisha Mkurugenzi wa Mambo ya Nje
wa Chama cha Wananchi (CUF), Ismail Jusa Ladhu, kuzungumza katika
mkutano huo.
Wafuasi wa ukawa wakionesha vidole vitatu juu wakimaanisha kuikubali serekali tatu inayotakiwa na Ukawa.
Wafuasi wa Chama cha Wananchi (CUF), wakiwa
kwenye mkutano huo.
Vijana wa chama cha chadema wakiwa juu ya gari wakifuatilia matukio mbalimba yaliyokuwa yakiendelea uwanjani hapo.
Maoni
Chapisha Maoni